Hapakui Mtu Hapa Mpaka Kiive

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,584
Kama Wewe Ndo Njaa Imekushiki Zaidi Hapa Hakipakuliwi Mpaka Kiive
 

Attachments

  • Mpaka Kiive.jpg
    8.6 KB · Views: 1,062
Yani hayo mawe yamekandamiza mfuniko au ndo msosi wenyewe!!??
 
yani hayo mawe yamekandamiza mfuniko au ndo msosi wenyewe!!??

hapo msosi upo ndani ya shaba kuna viele ele mpishi akitoka wanafunua sasa hapo wamepatikana
 
hii ndio kiboko
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1422016950611.jpg
    36.6 KB · Views: 333
Kama Wewe Ndo Njaa Imekushiki Zaidi Hapa Hakipakuliwi Mpaka Kiive
aisee ...hivo ndo namna chura wanavopikwa..eeeh CHURA hujakosea kusoma..NI hapa hapa Tanzania katika mkoa wa mtwara wilaya ya masasi vijiji around Namajani chura wanaliwa vizuri tu....
Sasa basi kwa kuwa inakuwa ngumu kuwatoa roho, hupikwa wakiwa hai..hutoswa kwenye sufuria namna hiyo then funiko linawekwa mawe namna hiyo ili wakiruka ruka wasilifungue funiko
...unaambiwa chura wakiiva vizuri wanatoa mtuzi wenye rangi fulani ya njano mithili wametiwa binzari ya manjano
#tembea #uone
 

Mmmmh! Kuna Ukweli Hapo Kaka?
 
hapo msosi upo ndani ya shaba kuna viele ele mpishi akitoka wanafunua sasa hapo wamepatikana

Hahahahahaa..asikuambie mtu hii kali hata mwenye kufuli ana nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…