Hapa Wapi Wajameni

Hapa Wapi Wajameni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
FB_IMG_1427345451697.jpg
 
Mandhari safi,nimepapenda.
Hakika Mbeya ni green city.
 
Ni tukuyu kuelekea stendi ya mabasi na upande wa juu ni ilipokuwa stendi ya mabasi ya railway
 
Hapo nadhani itakuwa ni Tukuyu...

Mbele kidogo hapo upande wa juu ni Chuo cha Ualimu Msasani na kushoto chini stendi kuu ya mabasi...
 
Japo Sijawahi Fika Nami Nijibu Tu Kuwa Ni Tukuyu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom