Hapa wapi ndani ya Tanzania yetu?

Hapa wapi ndani ya Tanzania yetu?

shukran, kumbe ziwa duluti ni zuri hivi!

Mungu akipenda nitajitahidi kufika huko.
 
Ziwa Duluti liko Mkoa wa Arusha, karibu na Hifadhi ya Arusha kama kilometa 30 hivi kutoka Arusha mjini!
Mkuu utakuwa umesimuliwa, ziwa Duluti lipo Kilometer kama 14 kutoka Arusha mjini kuelekea barabara ya Moshi eneo linaitwa Tengeru, njia rahisi unashika njia ya kwenda Mererani ukifika geti la chuo cha mifugo/kilimo Tengeru unakunja kulia au pale Shangarai kabla ya kufika Tengeru unaingia kulia
 
Soma vizuri jibu langu nimesema kutokea Hifadhi ya Arusha! Sasa unataka kuanzisha ligi au vipi?
 
Shangarai ni mbali labda Sang'si
 
Soma vizuri jibu langu nimesema kutokea Hifadhi ya Arusha! Sasa unataka kuanzisha ligi au vipi?
Mkuu uzi umeutoa kwa ajili ya kuelimishana, na wala sipo kwenye ligi pia sijakujibu kwa kejeli zaidi ya kukuambia umesimuliwa, mie nimeangalia hizo kilometre 30 kutoka Arusha mjini maana kutoka Arusha mpaka Tengeru ni 14 km, sorry kama nimekukwaza na kuingilia uzi wako mkuu vinginevyo nilikuwa naweka record sawa hapo kwenye kilometre tu na maelezo ya ziada ku-support uzi wako na wala sio ligi kama ulivyotafsiri. Nadhani maelezo yangu ilikuwa ni kumalizia kile ambacho umeandika kwa kujazia nyama mkuu maana kuna wadau walikuwa interested na eneo husika
 
shukran, kumbe ziwa duluti ni zuri hivi!

Mungu akipenda nitajitahidi kufika huko.

Mkuu,utakapo bahatika kwenda huko Zingatia Tahadhari zilizowekwa!!..
 
Attachments

  • 1449294774487.jpg
    1449294774487.jpg
    10.6 KB · Views: 287
Back
Top Bottom