Hapa wabunge mbona siwaelewi

Kwani msalaba ulianza na Yesu? Mbona ulikuwepo tu tena hata pasaka ilikuwepo hata kabla Yesu hajazaliwa. Wale wezi wawili "waliosulubiwa" pamoja na Yesu nao ni wakristo?! Msalaba sio ukristo!
 

Kwani hujui maana ya msalaba au unataka tu kuingiza udini?!,msalaba ina maana mzigo
 

Wewe ni mpumbavu
 
Tafsiri ya neno kwa neno mara nyingi huficha kile kinanachokusudiwa lakini sina hakika kama muliza swali hajaelewa sabu that's rhetorical question na kutaka kusumbua watu tu, humu hatupimani mawazo!!
 
Millioni 400 michango ya harusi na msiba.
 
1.6 bil consultation fee. 800mil school uniform. Acha kBISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…