Hapa wabunge mbona siwaelewi

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
Kumekuwa na malumbano makali bungeni,kuhusiana na sakata la upotevu wa pesa katika account ya tegeta ESCROW, kikubwa ni naibu spika job ndugai aliposema kila mbunge ajaribu kutoa maoni yake kuhusu sakata ilo,cha kushangaza kila mbunge si CCM wala UKAWA ukisimama kutoa maoni yake utasikia kila mtu aliehusika na wizi uwo abebe MSALABA wake ,sasa mimi nauliza hawa wabunge kwani wanawajua wezi wa hizo pesa ni WAKRISTO? Ujue nimewashangaa sana hawa wabunge wetu
 
ha ha ha ha ha ..... mfumo Kristo huo mkuu. teh teh
 
vitu vingine haviitaji hata msaada jaman kufikiria,ufikiri wako ndo umeishia hapo?
 

haya ni matokeo ya kukimbia kusoma somo la kiswahili. Kasome fasihi utajua msalaba umetumikaje.
 
Wewe huwaelewi Wabunge na humu hueleweki
 
Kwa hiyo sisi tukisaidie kwa huu upuuzi ulioandika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…