Hapa UTI haikwepeki

Mungu hushusha rehma zake hapo haumwi mtu hata ukucha

Hivi huwa najiuliza ile sunami sijui katrina zinazotokeaga nchi kama china, marekani na mataifa mengine kingetokea hapa kwetu sijui kama hili jiji la dar na zanzibar pangesalia hata panya huwa nasali nikiomba Mwenyezi Mungu aepushie mbali.
 
Mungu alivyo wa ajabu, unaweza kuta hakuna hata maji kidogo tu yanayoingia hapo.hapo ni kama mtu amefumba mdomo. ingekuwa hivyo basi wadada wakiwa swiming pool wakitoka wangekuwa wanachuchumaa na kujaza kikombe. unless they come here to speak the contrary manake mi ni "he".
 
AZUSA STREET ina maana huwa zinanyonya maji...!? yaani zina uwezo wa kufyonza...! lol najaribu kuvuta picha
 
Last edited by a moderator:
Mungu hushusha rehma zake hapo haumwi mtu hata ukucha

Kweli m/mungu yupo fakhina lkn asikwambie mtu kwa mwanamke hayo maji ni hatari mimi nilienda kumsaidia mama angu ktk mafuriko yale ya mwaka juzi sijui.....kuchukuwa watoto tu baada ya week nilianza kuwashwa haifai coz hapo vyoo vyote vimejaa
 
Hivi huwa najiuliza ile sunami sijui katrina zinazotokeaga nchi kama china, marekani na mataifa mengine kingetokea hapa kwetu sijui kama hili jiji la dar na zanzibar pangesalia hata panya huwa nasali nikiomba Mwenyezi Mungu aepushie mbali.
Mungu hakupi upele akakunyima kucha. Acha "Balance of Nature" ifanye kazi yake maana hizo nchi ulizozitaja zisingepata majanga ya asili kama hayo zingetuacha mbali mno kuliko ilivyo sasa....
 
Kila jambo mara nyingi linakuwa na sababu, sisi waafrika tumeumbwa wagumu sana kwa kupatwa na maradhi kirahisi rahisi kutokana na mazingira.

Hebu jiulize swali dogo hapa, Mwendawazimu anao uwezo wa kula vyakula vilivyoharibika, hata vile vya majalalani lakini hadhuriki. Sasa jaribu wewe mzima uone balaa lake
 
kweli kabisa HARUFU
 
Last edited by a moderator:
AZUSA STREET ina maana huwa zinanyonya maji...!? yaani zina uwezo wa kufyonza...! lol najaribu kuvuta picha
ah wapi, hapo kuna mabakuli mengine maji yanapitiliza hadi ndani kwenye vishimo hasa hao wamama. ivyo vitoto navyo kwasababu ni vya uswhailini inaweza kuwa direct hadi kwenye kizazi.hapana chezea mbunye za uswahilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…