Hapa unakumbuka wapi ukimuona huyu…?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Unamkumbuka piaa……? leta kumbu kumbu zako
 
Attachments

  • 1425924174166.jpg
    9.7 KB · Views: 908
  • 1425924187293.jpg
    22.7 KB · Views: 613
Kanda Bongo man....way back mambo ya inde mboni
 
Kasarani Kenya mzee Arap Moi anamtimua jamaa baada ya kufanya vitu vyake mpaka mke wa Moi akapagawa
 
Kasarani Kenya mzee Arap Moi anamtimua jamaa baada ya kufanya vitu vyake mpaka mke wa Moi akapagawa

Jamaa pia alikuwa na staili yake flan hivi ya kucheza noma sana
 
Michael Jackson wa bana Congo
 
Nakumbuka staili yake ya kucheza kama unajichinja kwa kidole hivi au unasema "haki ya mungu"
 
New Arusha hotel mwaka 1991 katoka zake nairobi kaja kupiga shoo. Anaitwa Kanda bongoman
 
Kasarani Kenya mzee Arap Moi anamtimua jamaa baada ya kufanya vitu vyake mpaka mke wa Moi akapagawa
Ha ha ha ha ha ha ha ha! naye Mzee Mwinyi yalimfika pia akaenda uwanja wa taifa/uhuru siku hizi kuangalia show ya Kanda Bongoman, wakati madaktari wamegoma Muhimbili watu wanakufa kama panzi/senene. Ilikuwa kashfa kubwa.
 
Ilikuwa balaa. Na kiingilio ilikuwa bei ghali ambayo mpaka sasa haijavunjwa rekodi.
Kwa ile bei ya mwaka ule kwasasa inaweza ikawa hata 3m
 
...
........pesa pesa pesa pesa pesa belima belima belima .....dalikimokoooooooo !!!!

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…