Hapa umeshamjua rais ajae?

hahahaha kazi sana mpaka uchaguzi upite tuona mengi sana
 
Magufuli hana mazoea ya kubeba watoto , angalia alivyombinya mtoto mpaka analia
 
Hii ni noma makufuri hadi tutoto tudogo hatumpendi
 
Magufuli ana mwonekano flani wa visasi. Watoto ni malaika huwa wanamjua mzuri na mbaya fasta
 
Sasa naelewa kwanini Sera kuu ya Lowassa ni kuwarudisha mtaani Babu Seya Ltd
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…