Hapa tatizo nini?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,675
Acount yangu ya facebook inaniambia chat disconnected
na nakuwa kama niko offline
siwezi ona mtu akini inbox hadi ni log off niingie tena
any help?
 
Acount yangu ya facebook inaniambia chat disconnected
na nakuwa kama niko offline
siwezi ona mtu akini inbox hadi ni log off niingie tena
any help?

hapo kwenye options za chat (kwenye kialama kama kirudumu chenye meno meno) umefanya uwe offline, rudi palepale na urudishe online

alternative tumia simu ya mkononi, kisha nenda kwenye chat kisha utabadili iwe unaonekana online, hiyo setting itaaffect hata kwenye pc



 

hapo napajua napako okay
sikuwahi kupagusa
na nikitazama pako ok
 
hapo napajua napako okay
sikuwahi kupagusa
na nikitazama pako ok

nimeongeza snapshot, tumia simu itarudi moja kwa moja hata kwenye pc

hapo kwenye turn off chat, kwako itakuwa turn on chat
 
nimeongeza snapshot, tumia simu itarudi moja kwa moja hata kwenye pc

hapo kwenye turn off chat, kwako itakuwa turn on chat


snapshot?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…