Salmin Da Stump
Member
- Feb 2, 2013
- 19
- 0
Nina dv2 ya point 11(HGK) nataka kufanya application ya university mwaka huu ila nitabase sana kwenye faculties znazohusiana na Geography. Naomba mnisaidie hzo faculties pamoja na chuo kizur tz.
Chuo kizuri TZ kwa sasa ni UDOM huna haja ya kupoteza muda wa kujadili, Tafuta kitabu cha TCU kisha utaona kozi zote zinazohusisha GO, But your too general buy saying geo maana kozi zinazokusisha GEO ni nyingi sana.kwa ushauri wangu ningependa sana usome BED-SPED,major GO