Hapa Pinda alikuwa akipokea fedha za nini!??

Nimeizoom bila mafanikio ...sikuweza soma maelezo yake.
 
Alikua anapokea mchango wa shilling million 10 kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim M.Majaliwa pamoja na Mkewake Mama Mary Majaliwa kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Parokia mpya ya Zuzu nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
 
Una uhakika mkuu?
 
Kweli mkuu hapo nmemtambua fr Chesco mkurugenzi wa Radio mwangaza Dodoma,mkuu wa shirika mt Gaspar na Vicar general wa Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…