Wakudadavuwa anaendesha noah kwa sasa, mpaka akipaki ndio atacomenti.daaaaah kumbe mgao wa makinikia umetoka ? duuuuuh lini utatufikia sisi raia ?
Una uhakika mkuu?Alikua anapokea mchango wa shilling million 10 kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim M.Majaliwa pamoja na Mkewake Mama Mary Majaliwa kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Parokia mpya ya Zuzu nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
Ni kweli mkuu.Una uhakika mkuu?
Asante mkuu kwa uhakikisho..poaNi kweli mkuu.
Yap huwa sibahatishi mkuuUna uhakika mkuu?
Kweli mkuu hapo nmemtambua fr Chesco mkurugenzi wa Radio mwangaza Dodoma,mkuu wa shirika mt Gaspar na Vicar general wa DodomaAlikua anapokea mchango wa shilling million 10 kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim M.Majaliwa pamoja na Mkewake Mama Mary Majaliwa kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Parokia mpya ya Zuzu nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
poa sana mkuuYap huwa sibahatishi mkuu
Sijui mkuu?Nawe hujui!??
Naskia ni 10 M.... mwenye habari atujuze