Hapa pana priority ya Bachelor of Art with Education

maharco

Senior Member
Nov 28, 2015
116
35
Wanafunzi changamkieni kuo
d71c3745a53d4d9c6c1354e517bd547a.jpg
 
Ombeni hapo mkopo priority kwa bachelor of art with EDUCATION mwaka huu haya watoto wa masikini
 
Mkuu Hapo Nahisi ipo Kimakosa Coz Hiyo ni GuideBook ya TCU, Lakini Kwenye GuideBook ya Bodi ya Mikopo HESLB hiyo Ni Non-priority.

Haiwezekani Kwa GuideBook Mbili Kukinzana! Na ikumbukwe Kuwa inapotokea Tofauti Kati yao Basi HESLB ndiyo Finally Decision, Kwani TCU wao wanachagua Wanafunzi tu lakini HESLB ndiyo Wanaotoa Mkopo.

Cozi ikiwa ni Non-priority Kwa Bodi ya Mkopo Basi Huwa ni Kwa Vyuo Vyote, Sio kwa baadhi ya Vyuo iwe kipaombele, ila Kwa baadhi ya Vyuo iwe si Kipaombele.

Na Mkuu Haikuwahi wala Haitowahi Kutokea Kwa Masomo Ya Sanaa Kuwa Priority.
 
mkuu mednec kumbuka kwa vyuo vya private vya medicine wanapewa asilimia 100 lakini bado wanaongezea hadi laki 5 kwenye ada sasa wanatofauti gani na huyo wa asilimia 0 au hujui hilo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom