Hapa nina full stress

Ngoma na gono ni kama mtu na mdogo wake ndugu wa damu ila baba tofauti
 
Ni
Kingine wakuu kuna uhusiano gani kati ya ngoma na gono maana kuna mtu aliniambia hizi mambo zinaendana na hapo ndio nikachanganyikiwa zaidi.
Nimesoma na kusikitika sana. Vijana mtaisha.

Afya ni namba One kwenye maisha yako.

Wanatoka mikoani wakija Mjini utadhani ni Malaika.

Huko mkoani anapigwa hadi Mtungo .... Akija ugenini mnamchukulia Mtumishi sana.

Nina stori za Wadada walikuwa malaya wa kutupwa huko mikoani hadi wanajiuza.

Walipofika Dar walijifanya washamba familia kadhaa ziliungua kwa moto wa Congo
 
Katika pitapita zangu nashukuru hizo makitu sijawahi nyaka asee, hii mavitu ya kuokotaokota barabarani ovyo sio poa hasa Hawa madada wa makanisani.
Mwenyewe anadai alikuwa mzuri, shape, mcha Mungu😅😅😅😅
 
Makanisa na misikiti yamehifadhi Waharifu.

Ogopa sana mtu anayependa kusali sali .....kuna kitu anakificha na anakiogopa
 
Ipo hivi wakuu wiki 3 zilizopita kuna mdada alikuwa anafanyia kazi karibu na ofisini kwangu yupo vizuri shepu safi halafu dem alionekana kunielewa sana.
Hapa ndipo alikuwa anakuchora na kukuweka kwenye mtego ukajaa.

Ukajiona mjanja ukamchakata peku peku😅😅😅
 
Kwa kweli wacha niendelee na nyeto ya mlenda vuguvugu. Naona mbususu nyingi sio salama kwa matumizi
Hali ya maisha ni ngumu na Mademu wanahitaji vitu vizuri kila wakati...Mbunye imekuwa chanzo cha Mapato.

Wanagawa kwa mtu yeyote as long as anauwezo wa ku sponsor chochote

Mademu wamekuwa ni wanyama hatari sana kwa maisha ya Mwanaume
 
Utanyooka tu
Bado hujasema
 

Unacheza sana na maisha, kwanza it seems una ujinga wa kijijini, yaani uache kondomu alafu uje utuombe maoni huku? Alafu hizo metronidazole and panadol hazikusaidii, nenda tena hospital haraka. Metronidazole huzuia bacteria na vimelea kukua pamoja na kutibu magonjwa fulani ya zinaa, yes, but kwa kesi yako hiyo dawa ni dose ndogo sana. Kama huamini, tumia hiyo dawa utarudi tena hosp.

 
Hali ya maisha ni ngumu na Mademu wanahitaji vitu vizuri kila wakati...Mbunye imekuwa chanzo cha Mapato.

Wanagawa kwa mtu yeyote as long as anauwezo wa ku sponsor chochote

Mademu wamekuwa ni wanyama hatari sana kwa maisha ya Mwanaume
Aisee ni hatari mno kaka kama kuna mtoto mmoja anatako saiz ashaanza kunimendea namkwepa hatari yani nimekuwa muoga kuliko kawaida
 
Mkuu nachoma na sindano pia halafu hizo nyingine sio panadol
 
Azuma 5000 tu
 
Angalia Usije Ukavuta umeme.

Jitahid Kutuliza Mawazo ,pia Usimwamini Mtu kizembe hata wew usijiamini.
 
Pole,cheki pia HIV uishi Kwa amani. Msongo wa mawazo unaumiza sana jipe moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…