Hapa ni wapi?

Hapo ni arumeru (magufuli hapa mi ndio niliitengeneza
 
Coaster ya Ndwanga Mwafirombe Mwambifirefire Mwakifurefure Mwafwengwa hii, inapiga trip za Tukuyu-Mbeya, hapo ni pande za mporoto.
 
Mkuu ulipiga picha ukiwa unaendesha gari, tena ukiwa unapishana na gari jingine, kwenye kona, halafu milimani ukiwa kwenye mteremko! Hatari sana, bado tunakuhitaji.
 
Daaa ! Nashindwa kuchangia hata kwa kubunibuni,kwetu hakuna lami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…