samora jengo unaloona mbele ni choo cha city kushoto na benki ya NBC kulia. Mpiga picha alisimama karibu na Clock Tower kwenye zebra. Hiyo njia anayotokea mwendesha mkokoteni inaingia stesheni.