Hapa ni wapi Tanzania hii?

Mbona ka bandari flan kule kanda ya Victoria vile. Ndo inatengenezwa hao ni mainjinia wameenda kuangalia tu. Ni kanda ya ziwa hapo.
 
We jamaa mkali umeuliza swali kisha umejijibu mwenyewe
 
Ningekuwa na uwezo ningepahamishia kule panapojengwa airport ili sabab ya kwenda kule iwe ni utalii[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…