Hapa ni nchi gani?

Hapo ni tanga barabara ya 12! shekhe tena ni cku ya mahuridi!
 

Nenda ktk jukwaa la Siasa! Kujua kama apo ni nchi gani nako ni kuelimishana bana,we vp?!
 
Ni uarabuni huko,ila sijui ni nchi gani..
 


kama tukianza michezo ya watoto hata maana ya jf haitaonekana! lets be seriously!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…