Hapa ni kata ya Nkuhungu iliyopo katikati mwa jiji la Dodoma

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,182
1,490
Miundo mbinu ya Jiji ni tatizo
3c805e24-6c72-4b33-9dc2-769ded9596db.jpg

462643a9-7e9e-47d5-9a40-069dc811f49b.jpg

0a552fb8-5c2a-412f-9b0b-480bb8a1d5a0.jpg
 
Safi Sana Mleta Thread hili ni eneo lipo Nkuhungu mitaa ya Ntube Kila msimu wa Mvua ni Maji tu.Serikali na Mbunge wa Dodoma hebu Fanya Ziara ya Nkuhungu ukajionee.Hali ni Mbaya Hiyo Sehemu ni shida Sana.
Kata ya Nzuguni karibia eneo lote barabara zake zimejaa mashimo na madimbwi ya maji!! Ukienda Michese nako maji yanajipitia tu juu ya barabara ya vumbi!!

Halafu Mbunge wake ni Kijana! Lakini hakuna kitu! Madiwani wenyewe wote wa ccm hakuna wanacho fanya! Kuna Jiji jina tu.
 
Nasikia amewapa Gari la kisasa la Kubeba Maiti.
 
Back
Top Bottom