Mheshimiwa Rais Magufuli akipokea mchango wa fedha taslimu kiasi cha Dola za Kimarekani laki mbili (USD-200,000/-) sawa na shs 437 milioni kutoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi Bukoba, Ikulu Dsm.