Umeona enh!awachane wabana pua wamezidi kujipodoa!ahhahahhaha!mimi mwenyewe nawamind wabana pua ebu check diamond eti kesho anapiga show katika BBA eviction show,tangazo la voda kalipwa 50m,huyo PHD naye kajitangaza yeye basha na leo yuko zenji katika deal la pesa movie wakati gangstar ney mitego yuko ghetto ramani haisomi!
Hana lolote huyo Ney,anatafuta umaarufu tu kupitia majina ya wenzie..kuna nyimbo kamponda mama yake utadhan hakuzaliwa,unaweza kujiuliza huyu jamaa aliota kwenye mti wa mpera nini... So huyo Ney tupa kuleeee! Personally,namuona nyau tu.