Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
hahaha! Wewe utakuwa wakwanza kupost!
aaaah wapi....sina tabia ya kuachwa...japo chakula kikibaki simwagi....viporo vina ladha yake asikudanganye mtu....tena utambi mmoja tu kitu na box
hahaha! Wewe utakuwa wakwanza kupost!
alivokuwa anapewa utamu hakuja kusifia humu! Kaacha ndo analeta matapishi yake humu! Kha! Vidume wengine bana!
Dume zima linakuja kutangaza humu nadhani utakuwa chakula wewe me sometym huwanakereka na watu wanaoleta udwanzi humu
Au wewe ndiye mlengwa? Funguka!alivokuwa anapewa utamu hakuja kusifia humu! Kaacha ndo analeta matapishi yake humu! Kha! Vidume wengine bana!
alivokuwa anapewa utamu hakuja kusifia humu! Kaacha ndo analeta matapishi yake humu! Kha! Vidume wengine bana!