Na lile linalotoka mgongoni je utaliitaje? Mi nadhani hilo ni jasho sio kikwapa, kikwapa ni ile harufu mbaya inayotokana na jasho linalonuka vibaya, je huyo umemsogolea ukamnusa ukakuta ananuka jasho baya. Sehemu yoyote ya joto ni lazima jasho litoke labda wewe unashinda kwenye AC tu tu