We ndio umelogwa hujamsikia Albert Bashite alisema timu ni ya nani!? Ma ccm acheni ukifutu....Nanyi mnaongea kama hamjielewi kwaiyo alipiwe n serikali nauli hao unao ona wapo misri wamelipiwa na caf kuanzia maradhi mpaka hotel
Maradhi huwa yanakujaga tu mwilini... hayalipiwi, acha kuongopa!Nanyi mnaongea kama hamjielewi kwaiyo alipiwe n serikali nauli hao unao ona wapo misri wamelipiwa na caf kuanzia maradhi mpaka hotel
Pierre amelipiwa na CAFNanyi mnaongea kama hamjielewi kwaiyo alipiwe n serikali nauli hao unao ona wapo misri wamelipiwa na caf kuanzia maradhi mpaka hotel