Hiyo ni damu,unachotakiwa hapa ni kujiuliza inatokana na nini?Jibu utapata kwa swali la kuwa huwa unamuandaa mpenzi wako vema kabla ya tendo?Maumbile yake yana uwezo wa kuhimili ya kwako?
Baada ya hapo inafaa kuangalia kama ana ugonjwa wowote ukeni ambao unaweza kuwa unasababisha kutokwa damu.
Usikute unagonga Jini! Wasiwasi wangu tu usije nata kama wenzetu jana!
Natania tu, usimaindi sana kichaa wetu. Muhimu ni kuzingatia ushauri wa Joseph hapo juu.
Bleeding from the vagina either during or just after sexual intercourse is never normal and should always be checked by a doctor. A variety of vaginal, cervical or uterine conditions can lead to bleeding from sex, such as common inflammation, various sexually transmitted diseases or abnormal growths that can include cancer.