Hapa nako kuna mapenzi kweli?

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Haya mapenzi ya namna gani aisee.
Eti mtu unaumwa, Afu unamjulisha mpenzi wako kuhusu hali yako,
Baada ya hapo anakaa kimya, hakupigii wala kukutumia text kuuliza anaendeleaje,
Wewe tu ndo unampigia tena kumwambia hali yako.
Hivi haya ndo mapenzi ya siku hizi au kuna sehemu yanapitishwa?
 

😂😂😂😂😂
Kaaaazi kwelikweli, na vile mkiumwa mnajidekeza mbona unalo!
 
Hospitali umeenda?
 
Jamaa yangu alikuwa anaumwa malaria kali kalazwa mwananyamala na drip mbili,siku niliyokuwa nimeenda kumtembelea demu wake alikuwa kampiga kizinga cha 50k ilhali anajua mshikaji kalazwa hospital.

Usijiendekeze.Jua thamani yako.
 
Tafuta akupendaye broo usiumize akili kwa kenge mliyekutana ukubwani uyoo mfanye kama kipoozeo usimpigie
 
Jamaa yangu alikuwa anaumwa malaria kali kalazwa mwananyamala na drip mbili,siku niliyokuwa nimeenda kumtembelea demu wake alikuwa kampiga kizinga cha 50k ilhali anajua mshikaji kalazwa hospital.

Usijiendekeze.Jua thamani yako.
Na demu alikuwa anajua????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Wanawake mna nini lakini ? Ukiumwa nenda hospital
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…