Hapa mtoto wako akirogwa utamlaumu nani ?

Ajilaumu mzazi! Ndo maana wanashauri sio kila kitu ushirikishe watu maana huwezi jua unayemshirikisha atapokeaje ujumbe wako!
 
Husda...hata makazini..ooh ninajenga,ooh nimefungua bizness...mara kijigari....chunga sana.
 
Sio lazima uchawi, kuna mtu unakuta hapendi mafanikio ya watu kabisa, kwa iyo anapofahamu mambo yako atakuombea mabaya kila cku!
 
atakuombea kwa nani na nani atasikiliza maombi/sala hizo???
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…