Hapa mtoto wako akirogwa utamlaumu nani ?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,932
26,631
eng_41.jpg
 
Ajilaumu mzazi! Ndo maana wanashauri sio kila kitu ushirikishe watu maana huwezi jua unayemshirikisha atapokeaje ujumbe wako!
 
Ajilaumu mzazi! Ndo maana wanashauri sio kila kitu ushirikishe watu maana huwezi jua unayemshirikisha atapokeaje ujumbe wako!
Husda...hata makazini..ooh ninajenga,ooh nimefungua bizness...mara kijigari....chunga sana.
 
Sio lazima uchawi, kuna mtu unakuta hapendi mafanikio ya watu kabisa, kwa iyo anapofahamu mambo yako atakuombea mabaya kila cku!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom