DuhSio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua,ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana....
Jiwe kakataa proposal ya kuwalipa wapiga debe wa ccm mitandaoni .Hata humu jukwaani wengi wao pumzi zimewakata! Ujasiri wa kuisifia serikali yao kandamizi, umepungua! Bia yetu hajulikani yuko wapi!! Hali ni tete.
Amani na uhuru viwe pamoja naoMtaani kwangu Mwenyekiti CCM kata na wajumbe wake wanasema kuwa walikuwa na imani na Jiwe kabla ya kampeni lakini kampeni zilivyoanza Lissu kawafumbua akili na sasa wameamua kumpigia Kura.
Nami naiona hivyo. Pamoja na mabango yao kuwa tishio la mazingira.Hata humu jukwaani wengi wao pumzi zimewakata! Ujasiri wa kuisifia serikali yao kandamizi, umepungua! Bia yetu hajulikani yuko wapi!! Hali ni tete.
Sio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua, ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana.
Wengi niliokuwa nawafahamu wamebadilika kimawazo na fikra zao sasa zinaona mbali,wamegundua shida na dhiki za maisha sababu ni kuitukuza CCM na kuwapigia makofi wenyeviti na meza.
Wameanza kuwa huru kifikra mambo ya kupewa fulana na suruali za kijani na njano na kikofia cha kijani wanasema wale wakinunua utu wetu kwa vipande vya vitambaa tu.Kumbe huwa wameficha ubaya wao.
Jamani kukataliwa kubaya CCM sasa inakataliwa kila sehemu ya Tanzania hii,wakubwa,vijana wazee na watoto wanaikwepa CCM ,CCM msiwe wabishi kubalini hii hali inayotokea. Ni mabadiliko ya tabia nchi lazima myakubali.
Wanasubiri NEC ifanye yakeSio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua, ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana.
Wengi niliokuwa nawafahamu wamebadilika kimawazo na fikra zao sasa zinaona mbali,wamegundua shida na dhiki za maisha sababu ni kuitukuza CCM na kuwapigia makofi wenyeviti na meza.
Wameanza kuwa huru kifikra mambo ya kupewa fulana na suruali za kijani na njano na kikofia cha kijani wanasema wale wakinunua utu wetu kwa vipande vya vitambaa tu.Kumbe huwa wameficha ubaya wao.
Jamani kukataliwa kubaya CCM sasa inakataliwa kila sehemu ya Tanzania hii,wakubwa,vijana wazee na watoto wanaikwepa CCM ,CCM msiwe wabishi kubalini hii hali inayotokea. Ni mabadiliko ya tabia nchi lazima myakubali.
Ni Kweli Kipindi cha Rais Mstaafu JMK CCM 'ilichokwa' sana na Watu ila kwa CCM hii ya Rais JPM sasa 'imeshakinaiwa' na wale Walioiamini sana tu.