Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,455 Oct 11, 2016 #2 Wengine bora uwaweke jela siku nzima kuliko amuachie simu yake wife kwa masaa matatu
sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,895 Reaction score 5,308 Oct 11, 2016 #3 Ha ha ha ha........jamaa anakuwaga na msaidizi wake fulani hivi wa kumkumbusha kila kitu, nilicheki hiyo makala MSNBC khs maisha ya Obama White House....naona hapo wote wawili walipitiwa.
Ha ha ha ha........jamaa anakuwaga na msaidizi wake fulani hivi wa kumkumbusha kila kitu, nilicheki hiyo makala MSNBC khs maisha ya Obama White House....naona hapo wote wawili walipitiwa.