Hapa lugha za wenyewe tu Kibantu NO!!!

Hapa lugha za wenyewe tu Kibantu NO!!!

We si sister huwa wanahuruma sana masisteri afu we kopiright african woman unajua kabisaa sharing is caring that why huna hofu hahaha loh

Ya kweli haya my Mentor?
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe nmepigwa na butwaa

Hebu piga chini hiyo avatar bibie... Weka hii hapa..

black-women-beautiful-eyes-1-614x800.jpg
 
Sitaki mimi.....naweka ile nnayofanana nayo

come on Kan.... em jaribu kuiweka hii, its very impressive!

Hio inaleta ambiguity flan hivi... it does not match up with your beauty!
 
come on Kan.... em jaribu kuiweka hii, its very impressive!

Hio inaleta ambiguity flan hivi... it does not match up with your beauty!

Ambiguity gani hebu sema....na kwa taarifa yako hiyo ni picha yangu halisi
 
Ambiguity gani hebu sema....na kwa taarifa yako hiyo ni picha yangu halisi

hm! na ile uliyonitumie pm ukiwa umeshkilia maua? unadhani sikujui eenh? hahahahaaaa!
 
Munkari我喜欢你,单身不单身?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom