Hapa lugha za wenyewe tu Kibantu NO!!!

Hapa lugha za wenyewe tu Kibantu NO!!!

Yani umeachia ngazi kirahisi hivyo khaa !!! Hehee

Niulize sa hivi bana bdaye mbali

Nimejikuta nachoka sasa.. wacha ninywe maji ya zabibu.
.
Mchana kweupe kabisa unamuita amour mke wa mtu? duh
 
Excel kachukia sana, najua anakosa amani bcz of me......

besti mpaka kipindi nimepigwa ban, we bila aibu unaruka na miss neddy kwa lugha ya kifaransa watu wasiwaelewe?

aisee huna huruma...

Btw, wacha nijichimbie mtaa mwingine nipate pumziko....

kimya kingi ujue kina mshindo!

I hate myself... not you.
 
Last edited by a moderator:
Nimejikuta nachoka sasa.. wacha ninywe maji ya zabibu.
.
Mchana kweupe kabisa unamuita amour mke wa mtu? duh

Mmmmhhh si wanasemaga mke wa MTU msweet nawewe kamata mwingine ngoma iwe droo
 
miss neddy mbona kashatoa kauli yake tangu asubuhi? Embu rudia kusoma hapo juu.... Excel usijipe wakati mdumu ivo blaza na wala usimfanye Miss kukosa amani, okey?

Kumbe ulivyokuwa unasema ''I really love miss neddy'' ulimaanisha you really want to hit and run eenh?

Dont run brother... peacefully, I say, eat more, excel says.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhh si wanasemaga mke wa MTU msweet nawewe kamata mwingine ngoma iwe droo

Hapana munkari, nilishamuahidi malikia wangu miss neddy kuwa ntakuwa 'good husband'.. hata kama utafiti katutenganisha, sitavunja hii ahadi..
 
Last edited by a moderator:
besti mpaka kipindi nimepigwa ban, we bila aibu unaruka na miss neddy kwa lugha ya kifaransa watu wasiwaelewe?

aisee huna huruma...

Btw, wacha nijichimbie mtaa mwingine nipate pumziko....

kimya kingi ujue kina mshindo!

I hate myself... not you.

Punguza munkari basi kuchapiwa ni siri ya ndani
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe nmepigwa na butwaa
Shangazo wii....tuitie bro
Dada sijui familia yetu imepatwa na nini?shemeji kasema hawezi kuendelea na mdogo wetu maana anachepuka mbele yake.
Mmh... miss neddy hawezi fanya hivyo bana..unless alikua anatania
Wamefumwa Jana laivu bila chenga
Walikua wana do what?...mbona wewe unakuwaga una bromance na mume wangu sikufanyi kitu?...
Ask your sister miss neddy
She knows in and out!!!!

Ooh.....let me do just that
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu unaitwa na tudada twako huku
 
Last edited by a moderator:
Shangazo wii....tuitie bro

Mmh... miss neddy hawezi fanya hivyo bana..unless alikua anatania

Walikua wana do what?...mbona wewe unakuwaga una bromance na mume wangu sikufanyi kitu?...


Ooh.....let me do just that

We si sister huwa wanahuruma sana masisteri afu we kopiright african woman unajua kabisaa sharing is caring that why huna hofu hahaha loh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom