Hapa Lowassa ataweza kweli!

Hapa Lowassa ataweza kweli!

Joined
Jan 12, 2015
Posts
27
Reaction score
10
Hivi kumfanya Lowassa kwa kipindi kifupi kuendana na mfumo wa CHADEMA na UKAWA. Mfumo ambao hata UKAWA wenyewe bado unawasumbua. Akipewa nchi katika hali hiyo ataweza kubadilisha chochote au atakuwa bora liende?
Nawaza kwa sauti tu wapendwa, naomba mnisaidie kuwaza please.
 
hawez. ni vurugu. co ukawa tu hata chadema na mfumo wao wa majimbo sijui kama atauweza. pia siamin kama lowasa akishinda urais itamaanisha chadema wameshinda au ukawa wameshinda au mtandao wa lowasa umeshinda au matajiri wa TZ wameshinda au team lowasa na frienda of lowasa wameshinda. Sielewi itamaanisha nn hasa.
 
Hivi kumfanya Lowasa kwa kipindi kifupi kuendana na mfumo wa chadema na ukawa. Mfumo ambao hata ukawa wenyewe bado unawasumbua. Akipewa nchi katika hali hiyo ataweza kubadilisha chochote au atakuwa bora liende?
Nawaza kwa sauti tu wapendwa, naomba mnisaidie kuwaza plz.

anavyoweza kubadilisha vipo vingi sana, vilivyo dhahiri ni pamoja na:-

First lady hatakuwa tena salma, badala yake atakuwa Regina.

nguvu ya umma atakuwa anaiona kila afumbuapo jicho na kuiheshimu kwa kuwa anajua muziki wake.

Atakuwa tayari kuongozwa na maamuzi ya vikao vya haki.
 
Unajisumbua kaka make wao wanasema bora tu wapate urais eti mengine yatajitengeneza yenyewe ..Wanahisi kuwa rais ni ngekewa basi ilimradi liende ..yaani haujajipanga alafu na sie tukubali uwe rais wa ilimradi? kama ni hivyo ni bora tukahairisha uchaguzi kwanza vinginevyo hatutaki majaribio Ikulu
 
niliwahi kusikia kwamba nyoka akiingia ndani kwako unamuu kwa silaha yoyote ili mradi afe, usafi utafanya badae nyoka akishakufa, au wewe unawazaje
 
Kuwa mvumilivu mkuu!!acha kuweweseka
 
mm naomba lowasa achaguliwe kwa kura nyingi kikwete akatalie na policcm ikiwezekana hata jeshi wajiingize kwenye siasa cose naomba sana wenye vihere here wapelekwe the Hague....
 
Hivi kumfanya Lowassa kwa kipindi kifupi kuendana na mfumo wa CHADEMA na UKAWA. Mfumo ambao hata UKAWA wenyewe bado unawasumbua. Akipewa nchi katika hali hiyo ataweza kubadilisha chochote au atakuwa bora liende?
Nawaza kwa sauti tu wapendwa, naomba mnisaidie kuwaza please.

Apewe nchi na NANI?
 
niliwahi kusikia kwamba nyoka akiingia ndani kwako unamuu kwa silaha yoyote ili mradi afe, usafi utafanya badae nyoka akishakufa, au wewe unawazaje

Utaweza choma nyumba yako alimradi tu nyoka afe?Hzo zitakuwa akili za kutilia walakini.
 
Hivi kumfanya Lowassa kwa kipindi kifupi kuendana na mfumo wa CHADEMA na UKAWA. Mfumo ambao hata UKAWA wenyewe bado unawasumbua. Akipewa nchi katika hali hiyo ataweza kubadilisha chochote au atakuwa bora liende?
Nawaza kwa sauti tu wapendwa, naomba mnisaidie kuwaza please.

UKAWA/Chadema ikishinda mnashabikia na kusubiri neema itabidi muwe wavumilivu kwa takriban miaka 15 kabla mtz mmoja mmoja kufaidi matunda ya mabadiliko (kama itatokea ukawa kushinda). miaka 5 baada ya kushinda ni ya kusherehekea kuiondoa ccm, kujipanga vyama vilivyounda ukawa, kushuhulikia migogoro ya kugawana nafasi va vyeo serikalini itakayoibuka kila kukicha baina ya vyama vinavyounda ukawa; miaka 5 mingine (kama wataendelea kushinda) ni ya kuanza utekelezaji wa ilani ya ukawa/chadema; majibu ya utekelezaji huo yanaweza kuonekana miaka 5 itakayofuata!
 
Mkuu kumbe wewe upo mbali sana, lengo kubwa hapa kwanza ni kuondoa hiki chama dola kwanza, kama walivyofanya kenya kwa KANU, ili uwanja wa siasa uwe sawa kwa vyama vyote, na huko mbeleni kila chama kitakuwa na uwezo wa kuongoza nchi kama kitajipanga vizuri tu, hili dudu life kwanza. Ndio maana hata juzi nilimsikia prof. kitila mkumbo anasema ni kweli cdm na lowasa hawaendani ki sera na huko mbeleni watatofautiana tu, ila sasa vyama vyote vya upinzani viungane kwa lengo moja tu la kuondoa chama dola, ili huko mbeleni iwe lahisi kwa vyama tofauti kuweza kutawala, bila hivyo itakuwa ngumu., na yeye analiunga mkono hili la ukawa na angependa chama chake cha ACT, hata kisisimamishe mgombea urais. Hili ndio lengo kubwa, na hata tukianza kuona hayo maendeleo baada ya miaka 15,mbona tutashukuru kwani miaka hii 50,ya ccm inalingana na maendeleo haya?? hadi leo maeneo mengi maji ya kunywa tu bado ni shida!! watoto wanakaa chini, kila sehemu ni misitu tu.
 
Bora liende tutafahamishana huko mbele ya safari ila Sulutani CCM lazima aondolewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom