Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Dec 21, 2013 #1 Kamata magari pombe nayo haina adabu imemkamata askari huyu yupo hoi bin taabani............
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,339 Reaction score 16,798 Dec 21, 2013 #2 hapo ni baada ya kazi kaka!lakini pia si unajua kazi na dawa kiongozi!
Sembeta jr JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 805 Reaction score 367 Dec 21, 2013 #3 hapo madereva ndo wanafurahia mana wanamchana speed 160 hapo hapo na hata kama akistukia akakamata anaongezewa kili bariidi atalala tu. . . .lol!
hapo madereva ndo wanafurahia mana wanamchana speed 160 hapo hapo na hata kama akistukia akakamata anaongezewa kili bariidi atalala tu. . . .lol!
P phill JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,364 Reaction score 621 Dec 21, 2013 #4 ukitoa hizo sare he is just a normal man kama mie na wewe
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,048 Dec 21, 2013 #5 Duh!kweli pombe haina adabu!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,048 Dec 21, 2013 #6 phill said: ukitoa hizo sare he is just a normal man kama mie na wewe Click to expand... Kilichozua mjadala ni hayo mavazi yake!
phill said: ukitoa hizo sare he is just a normal man kama mie na wewe Click to expand... Kilichozua mjadala ni hayo mavazi yake!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,048 Dec 21, 2013 #7 Transporter said: hapo madereva ndo wanafurahia mana wanamchana speed 160 hapo hapo na hata kama akistukia akakamata anaongezewa kili bariidi atalala tu. . . .lol! Click to expand... Inawezekana hiyo pombe amenunuliwa na madereva!
Transporter said: hapo madereva ndo wanafurahia mana wanamchana speed 160 hapo hapo na hata kama akistukia akakamata anaongezewa kili bariidi atalala tu. . . .lol! Click to expand... Inawezekana hiyo pombe amenunuliwa na madereva!
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,048 Dec 21, 2013 #8 Zamaulid said: hapo ni baada ya kazi kaka!lakini pia si unajua kazi na dawa kiongozi! Click to expand... Mkuu sheria za kijeshi haziruhusu unywaji wa pombe huku ukiwa umevalia mavazi ya kijeshi!
Zamaulid said: hapo ni baada ya kazi kaka!lakini pia si unajua kazi na dawa kiongozi! Click to expand... Mkuu sheria za kijeshi haziruhusu unywaji wa pombe huku ukiwa umevalia mavazi ya kijeshi!
mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,107 Reaction score 370 Dec 21, 2013 #9 MziziMkavu said: Kamata magari pombe nayo haina adabu imemkamata askari huyu yupo hoi bin taabani............ Click to expand... Anapunguza ma stress ya kushinda juani kufukuzia elfu moja moja toka kwa madereva, huku baba mwenyenyumba akimsubiri kwa hamu
MziziMkavu said: Kamata magari pombe nayo haina adabu imemkamata askari huyu yupo hoi bin taabani............ Click to expand... Anapunguza ma stress ya kushinda juani kufukuzia elfu moja moja toka kwa madereva, huku baba mwenyenyumba akimsubiri kwa hamu