Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 May 31, 2013 #1 Unaamini watafika safari yao au wanatafuta kupiga picha tu? View attachment 95871
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 May 31, 2013 #2 Dah ishawekwa sana hapa hii
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 May 31, 2013 #3 Mbaula mkuu 682,kiboko hii truck haishindwi mzigo,mwendo wa kinyonga lakini inafika
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,842 May 31, 2013 #4 Ni zaidi ya jumuiya..!!
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 May 31, 2013 #5 watakuwa wanaigiza tu muvi hapo,
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 Jun 1, 2013 #6 Wakuu hiyo kweli; Safari inaanzia West Africa inaishia North Africa.... baadaye kuelekea Ulaya.!! good luck wafike salama.
Wakuu hiyo kweli; Safari inaanzia West Africa inaishia North Africa.... baadaye kuelekea Ulaya.!! good luck wafike salama.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,932 Reaction score 1,164 Jun 1, 2013 #7 Totos Boss said: Unaamini watafika safari yao au wanatafuta kupiga picha tu? View attachment 95871 Click to expand... Hii style ipo sana sehemu za DRC, kwa watu waliofika Lubumbashi kwenda Kilwa wala sio kitu cha ajabu.
Totos Boss said: Unaamini watafika safari yao au wanatafuta kupiga picha tu? View attachment 95871 Click to expand... Hii style ipo sana sehemu za DRC, kwa watu waliofika Lubumbashi kwenda Kilwa wala sio kitu cha ajabu.
Kiresua JF-Expert Member Joined May 13, 2009 Posts 1,183 Reaction score 262 Jun 1, 2013 #8 Totos Boss said: Unaamini watafika safari yao au wanatafuta kupiga picha tu? View attachment 95871 Click to expand... hamna safai hapa mkuu hahahah
Totos Boss said: Unaamini watafika safari yao au wanatafuta kupiga picha tu? View attachment 95871 Click to expand... hamna safai hapa mkuu hahahah
leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,716 Jun 1, 2013 #9 Inanikumbusha mabomu ya Gongo la Mboto, tulipanda gari kwa mtindo huu.
nanjilinji JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 1,206 Reaction score 566 Jun 1, 2013 #10 Chocs said: Ni zaidi ya jumuiya..!! Click to expand... Hujambo Mrembo?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jun 2, 2013 #11 taswira kama hii nimeiona kulekea Mwanuzi toka Maswa
MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Jun 2, 2013 #12 Wanatoka taifa uwanjaninini?
K KYALUMUKUNZA Senior Member Joined Aug 19, 2012 Posts 145 Reaction score 28 Jun 2, 2013 #13 nimekumbuka siku zile lorry la mnada linapotinga kijijini kwetu.
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jun 3, 2013 #14 Hao bado wajima huku kwetu Mbagala tumeendelea mbele hatukai tena foleni: