S Shitwiku Member Joined Oct 14, 2012 Posts 31 Reaction score 2 Apr 17, 2013 #1 Juzi zilinunuliwa nondo kwa ajili ya Ujenzi wa Gorofa,wakati Mafundi wana zikata na kuzipinda kwa ajili ya Kitako,Nondo zikawa zinakatika Attachments IMG-20130401-00425.jpg 558.3 KB · Views: 94
Juzi zilinunuliwa nondo kwa ajili ya Ujenzi wa Gorofa,wakati Mafundi wana zikata na kuzipinda kwa ajili ya Kitako,Nondo zikawa zinakatika
N Nyakipambo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 435 Reaction score 141 Apr 17, 2013 #2 Inaitwa mihogo hiyo!
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Apr 17, 2013 #3 :yo:kwani mawe hayo!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,298 Reaction score 108,323 Apr 17, 2013 #4 Una maana material yake ni "brittle" ?