Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,233
Ndugu zangu unakuta mara ya kwanza kwenye uhusiano kuna kuwa na upendo wenye nguvu zaidi.Na kila mtu anakuwa anamfurahia mwenzake wanapokuwa pamoja.
But kinachonikera mpenzi wangu ana tabia ya kujisifu ye ni mzuri na kuwa na madharau sana,unakuta kila saa akikutana na watu yeye nikujisifia tu na pia unakuta anapagawa na sifa anazopewa na watu,mi nadhani unaweza ukasifiwa sometimes but wewe mwenyewe ujishushe.
tangu nilipoona hiyo tabia ya kujisifu nikaona anafanya madharau flani na sio kama mwanzoni,mwanzoni tukikoseana tunaombana msamaha na yanaisha.siku hizi hakuna tena hizo tabia ameshajiwekea imani kwamba nikimkosea au amenikosea mi ndo wa kumtafuta na bado tutalumbana,kuvutana maneno na mengine.
Hivi hapo kuna kitu nyuma ya panzia?au kitu gani cha msingi cha kufanya au kujihadhari.