Hapa kuna mapenzi ya kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa kuna mapenzi ya kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Viol, May 21, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu unakuta mara ya kwanza kwenye uhusiano kuna kuwa na upendo wenye nguvu zaidi.Na kila mtu anakuwa anamfurahia mwenzake wanapokuwa pamoja.
  But kinachonikera mpenzi wangu ana tabia ya kujisifu ye ni mzuri na kuwa na madharau sana,unakuta kila saa akikutana na watu yeye nikujisifia tu na pia unakuta anapagawa na sifa anazopewa na watu,mi nadhani unaweza ukasifiwa sometimes but wewe mwenyewe ujishushe.
  tangu nilipoona hiyo tabia ya kujisifu nikaona anafanya madharau flani na sio kama mwanzoni,mwanzoni tukikoseana tunaombana msamaha na yanaisha.siku hizi hakuna tena hizo tabia ameshajiwekea imani kwamba nikimkosea au amenikosea mi ndo wa kumtafuta na bado tutalumbana,kuvutana maneno na mengine.
  Hivi hapo kuna kitu nyuma ya panzia?au kitu gani cha msingi cha kufanya au kujihadhari.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mpaka hapo ujue sifa zimemlevya ana anaamini huoni wa wala hisikii juu yake.Mawazo yake ni kwamba uzuri wake unakubabaisha hivyo huna jeuri ya kumuacha...mpige biti kidogo arudi kwenye mstari!Ila kama hakupendi hiyo biti itageuka kibuti maana hatajali atakwambia poa tu aishie zake!
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Amelewa sifa huyo!
  Jaribu kumweleza anavyokukera na hayo mabadiliko yake. Kama anakupenda atabadilika! Mwambie uzuri wa mwanamke sio sura.
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Tatizo nilishampiga biti na kumweleza,kila ninapomweleza anadai namwonea au nimemchoka na eti namshauri kama mtoto mdogo
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Nimweshamweleza imefika kiasi kwamba nikimweleza kama naongeza matatizo
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mpenzi wako ni mshamba na limbukeni.... na tayari wakuzungukao/marafiki wanajua ni jinsi gani wa kumlevya na kumkuza kichwa,,, na mtu yeyote yule anaekuletea dharau hali wewe ni mpenzi wake ina maana mapenzi yameisha... siamini kua mtu waweza dhubutu mdharau mtu unaempenda... Na inaonesha bado wampenda but ujue kua fro a relationship to work it takes two...
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Amua sasa kama utavumilia dharau au utembee mbele!
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Asha D,mi mwanzoni nilikuwa nampenda but tangu alipoanza hiyo tabia na madharau halafu hata nikiweza hanielewi nilishaweka mguu nje mguu ndani,but tatizo hata nikimweleza anadai namwonea,au anaanza kusema namtafutia kisingizio nimwache wakati ndo ukweli navyomweleza
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280

  heri kutembea mbele tu mana pia ni mbishi sana
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Achana na mambo ya mguu nje na ndani. Chukua maamuzi yatakayoupa furaha moyo wako.
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Excellent roho ikishaamua kuacha haitakiwi umwambie mpenzi wako kua nakuacha sababu una tabia mbaya... NO kama bado anakuhitaji atakwambia nitajirekebisha na sababu hakuna mapenzi ya kweli atajifanya kurekebika lakini asirekibike... We inatakiwa umwambie direct kua nakuacha sababu sikutaki!

  Na kama huyo mpenzi wako anakudharau alafu ukimwambia muachane hataki either;

  1. Yuko insecure hanaga amani mpaka awe na mtu hivyo anasubiri akipata ndo muachane..
  2. Labda unampa saana support na kwa kiasi fulani dependent on you, hivyo anaona hawezi kukuachia ili aendelee kunufaika
  3. Ina wezekana hakukubali but katika sector ya sex you are good.
  4. Au kweli anakupenda in his/her on way ila ndo wale watu selfish hujiangalia wao wenyewe
  BUT what ever the case sababu hizo hapo juu zoote hazifai mpenzi wako awe nazo kama nawewe unataka uwe na amani,,,
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  thanks sweety....nimeshaanza kujichukulia uamuzi
   
 13. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  dah! Pole sana best inaonyesha amejua uzaifu wako wote juu yake na ndo mana anauwezo wa kufanya lolote juu yako hvyo kinachotakiwa wewe ni kujiweka tofaut na mwanzo huku ukiwa unamwangalia muelekeo wake pole sana mana ukiona hatua hyo imewadia anza na wewe kupaki kidumu mapema ili akirud kwenye mstar mnakwenda pamoja
   
 14. s

  sawabho JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Kapata sehemu nyingine huyo kaa chonjo.
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Gud. Hapa sina cha kuongeza.
   
 16. f

  fikiriakwanza Member

  #16
  May 21, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu yangu.Kwanza inaonekana kuwa umeshakuteka,uko chini ya himaya yake.Maana kwa kawaida wanawake wapenda kucontrol,hivyo umeshajiingiza kwenye controling yake.Mmeishi kama mume na mke wakati hujakamilisha zoezi kama kujitambulisha na yeye kuweza kukubalika kwenu.Jaribu kumweka na dada zako au mama yako mzazi halafu usikilize comment zao.Ikiwa na wao wataona uonavyo wewe achana naye tafuta wa kaliba yako hamtaweza kuishi pamoja kwa maisha yenu yote.

  Ikiwa ni mkristo usiingie mkenge kwa kujaribu ukifikiri atabadilika baadaye.Huo ndio utakuwa mwisho wa ndoto zako.USIINGIZE HURUMA kwenye suala nyeti kama hili.
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Murefu yeye kujua hizo weakness ndo imekuwa tatizo,na kiasi flani nikaangalia huo mwenendo ni kama mtu anayewaza kwamba hata tukiachana kuna tatizo gani
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Fikiria kwanza hiyo ni kweli kabisa,ila tatizo ni kwamba sio mtu wakumpa ushauri,hata hawezi kusikiliza ushauri wa marafiki zake wa kike
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hata mi nimegundua hilo mana mara ya mwanzo hakuwa hivyo
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280  Asha D hizo points ni kweli kabisa,but ninachojiuliza kumwambia live kwamba nakuacha si kutazuka mengine?si heri tu nionyeshe signs tu na yeye aelewe kuwa sipo naye kwa signs tu
   
Loading...