Hapa kuna mapenzi ya dhati kweli?

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Yawezekana na ww ukawa ni mhanga wa haya mapenzi yanayoanzia safarini.
Mfano imetokea mmekaa seat zinazokaribiana wakati wa safari aidha mnatoka Arusha kwenda Dar mkiwa jinsia tofauti mnaanza story njiani mpaka mnapofika mwisho wa safari mlishakuwa wapenzi.

Je kwa huo muda tu umewatosha kuanzisha mapenzi?

Niseme ukweli nami niliwahi kuwa mhanga wa haya mapenzi lakini hayakudumu nahisi hisia zilinitawala.

Bora hata hyo ya safari ndefu sasa hii mmetoka sinza mpaka posta tayari mlishakuwa wapenzi dah mimi kwangu naona wizi tu hapa.

Je kuna mapenzi ya dhati hapa wanaJF?
 
Asilimia kubwa sana ni tamaa tu za kugegedana hamna mapenz ya kudumu hapo. Yaan sinza posta mshapendana!
 

Mkuu sio kwenye Gari tu!

People are falling in love for the first sight anywhere kwa ile short time tu!

Ni ninyi tu mioyo yenu kukubaliana!

Kuhusu kudumu, itategemeana tu na ninyi wenyewe mna technique gani za kudumisha hiyo love boom!

True love haiokotwi okotwi tu ama haipatikani freely kama unavyovuta hewa! It is made my friend, tena kwa gharama kubwa..!

and wonderful enough,

you use so many years and cost to build, lakini kuivunja, it takes just seconds!
 

hahahaaa..!!!
inategemea jamani
kuna dada alikua anauza duka posta na kuna kaka alikua anafanya kazi posta wote wanakaa vingweta mara kwa mara wanapanda gari pamoja au wanakutana kituoni
wakazoeana mwisho wa siku wameoana
 
hahahaaa..!!!
inategemea jamani
kuna dada alikua anauza duka posta na kuna kaka alikua anafanya kazi posta wote wanakaa vingweta mara kwa mara wanapanda gari pamoja au wanakutana kituoni
wakazoeana mwisho wa siku wameoana

Huoni hapo kama ni case nyingine.....mm nasemea pale mnaposafiri gari moja at first tym....
 
hahahaaa..!!!
inategemea jamani
kuna dada alikua anauza duka posta na kuna kaka alikua anafanya kazi posta wote wanakaa vingweta mara kwa mara wanapanda gari pamoja au wanakutana kituoni
wakazoeana mwisho wa siku wameoana
Ulikuwa Wewe eeeeeh?
 
Mapenzi ya dhati hayapo kwenye daladala, gest, bar, club, kanisani, wala kwenye mkutano
Mapenzi ya kweli yako kwenye moyo wa mtu mwenyewe(mpendaji)
Kwahio ukiona watu wameachana, sio sababu walikutana kwenye daladala, lahasha! Wameachana sababu wameshindwa kuelewana au kupendana....
 
in every great love there is..........................
 

Yaa mkuu hapo umenena kwel
 

Tabibumtaratibu, kazi ya Moyo ni kusukuma damu mwilini tu, na si kuhifadhi hisia. Hisia zote ni kazi za Ubongo.
 
Labda nikuulize ww mwnyew ni mapenz ya kwel kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…