Hapa kuna mapenzi kweli jamani?

Hapa kuna mapenzi kweli jamani?

Melkior

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
21
Reaction score
3
mpenzi wangu haeleweki nikimpigia simu, tupange lini tuonane ananijibu kuwa hana muda siku nyingine anasema ana kazi nyingi mara anafua mara anaenda kanisani alimradi visingizio kibao :A S-baby:
 
Sa unataka tukuambie kuna mapenzi, wakati wewe mwenyewe hujui kama kuna mapenzi au hakuna.
 
kwanza hujatuambia huyo mpz anafanya kazi gani namaanisha je kama ni house girl sii lazima awe busy siku zote au kama ni muajiriwa wa shirika flan lazima awe na ratiba zake labda ndio siku yake ya off afanyeje ss na kama unaona kero muwekee beki tatu wa kumsaidia kazi ili mkatembee vizuri back 2 your mada mapenzi hayapimwi kwa hivyo vitu ulivyoviorodhesha as kero kwako
 
mpenzi wangu haeleweki nikimpigia simu, tupange lini tuonane ananijibu kuwa hana muda siku nyingine anasema ana kazi nyingi mara anafua mara anaenda kanisani alimradi visingizio kibao :A S-baby:

Grow up...aaaaargh!
 
Ngoja niendelee na mishe sioni hata pa kuchangia.
 
Nomba ujipange halafu uje kivingine maana sioni kama utasaidiwa hapa,ulpomtongoza ulimwambia nakupenda tu na akakubali?Toa maelezo ya kina ueleweke na ushauriwe.
 
hata mimi anafanana na wangu ila ucumize kichwa kama anafua muache afue siku akimaliza akujulishe na UKIONA HIVYO HATAKI WATU WAJUE KAMA UPO NAYE XO JIULIZE MPO WANGAPI?...chukua hatua
 
Mfuate huko huko kanisani ukatangaze na nia kabisa kwenye madhabahu.
 
mpenzi wangu haeleweki nikimpigia simu, tupange lini tuonane ananijibu kuwa hana muda siku nyingine anasema ana kazi nyingi mara anafua mara anaenda kanisani alimradi visingizio kibao :A S-baby:
potezana nae tu mjini hapa kila mtu ana mishe zake
 
Back
Top Bottom