Hapa Kazi Tu

Mjini tabu! Kamanda kumbe mipasho inapanda sio!
 
Mwaka huu tutaona mengi, mpaka Wasukuma wanaaisoma namba kwa taarabu.
Najua chadema hamuamini kabisa kinachoendelea na kibaya zaidi mlidhani watanzania ni waroho, mlihonga hela ili mpate urais ila ikala kwenu, sasa mnahaha haha kutaka kupindua serikali, na kibaya watanzania tumekataa na lazima tuwashikishe adabu nyang'au nyie
 
Mjini tabu! Kamanda kumbe mipasho inapanda sio!

Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa sanaa na sibagui.

Napenda sana muziki wa Taarab.

Vilevile, nishaiandikia paper picha ya Vincent Van Goh [Starry Nights] na nikapata A+.

Na sitegemei kuwa unaijua hiyo picha....

Hayo yote ni mapenzi yangu kwa sanaa.
 
You are barking at the wrong tree dear.
 
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa sanaa na sibagui.

Napenda sana muziki wa Taarab.

Vilevile, nishaiandikia paper picha ya Vincent Van Goh [Starry Nights] na nikapata A+.

Na sitegemei kuwa unaijua hiyo picha....

Hayo yote ni mapenzi yangu kwa sanaa.
Ni Gogh. ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…