Hapa kazi tu kwa ubora wake

Hapa kazi tu kwa ubora wake

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=2]
11218624_875441515902799_469992946370659694_n.jpg
[/h]
 
amelipia hyo plate number mil 5 TRA ? kwan special number kama hzo zenye majina ni 5 mil kwa mwaka
 
Nawe pia umerogwa na Mtei maana mtu mwenye akili timamu hawezi kumkubali mwizi wakati anamtia hasara kila siku

ujinga ni kusema ##Hapa kazi tu ilhali huna hata mia mfukoni##kichapo kpo pale pale oct 25 mtanyoooooka tu kenge nyie
 
mmesajiliwa jf. na ccm ili kupost uharo na upumbavu wa aina hii ila hamfui dafu.

waaambie waongeze wengine nyie hamtoshi vilaza nyie
 
Ukiona rais ana muda wa kufanya mambo ya kitoto kwenye nchi maskini, basi ujue wananchi watakuwa wanashinda kwenye bao, draft na vijiwe vya gahawa!
 
Nyumbu ktk ubora wao naona mnatokwa mapovu utadhan mmefurumushwa na simba
 
ujinga ni kusema ##Hapa kazi tu ilhali huna hata mia mfukoni##kichapo kpo pale pale oct 25 mtanyoooooka tu kenge nyie

ujinga ni kusema hapa kazi tu ilhali unatapatapa mtaani tu hata kazi huna.

mmerogwaaaaaa

mmesajiliwa jf. na ccm ili kupost uharo na upumbavu wa aina hii ila hamfui dafu.

waaambie waongeze wengine nyie hamtoshi vilaza nyie


Mkuu chuki zote za nini? Demokrasi kila mtu ana haki ya kumfagilia mgombea anaeamini anafaa. Kama wewe unavyoamini Lowassa ndie anafaa na ndio rais ajaye.
 
Back
Top Bottom