Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 511
- 574
Mkuu, umeamua kuandika mwenyewe hii thread ktk hii forum au umeambiwa na mtu uiandike? Kwa kweli nashindwa kuamini kwamba nawe ni great thinker.Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa tz.kitendo hicho kimsononesha sana jk japo alioneka akitabasamu.basi baada ya hapo wabunge wa ccm wakajipanga ili kuwashinikiza wabunge wa cdm wamkubali jk kama presida halali wa tz,na kweli shinikizo likafanya kazi japo si kwa asilimia mia kwakua bado wabunge waliendea kukataa miswada yote ya gvt ya jk ndani ya bunge na nje ya bunge walionekana viongozi wa cdm wakipromte maandamano kila kukicha na kitendo hicho kilikua ninamuumiza jk kichwa kila kukicha na akawa anabuni kila njia ya kuwafanya hawa wana cdm wamsujudie lakini wapi,mara kama bahati ya mtende jamaa si wakaandika barua ikulu kuomba ikulu iwaruhusu kumuona jk!jk nae baada ya kusikia pasina na kusita akawaambia mastaff wa ikulu wafanye fasta kuwakubalia ombi lao.mda mfupi baadhi ya wana nec kule dom wakapendekeza jk asikutane na ujumbe wa cdm pekee bali akutane na vyama vyote.lakini jk akakataa maana jk kichwani ilikua si mjadala wa katiba kama wana nec walivyodhan,yeye lengo lake lilikua ni kupokea salute kutoka cdm tu,mda ukawadia viongozi wa cdm wakakaribishwa na wasira pale sebuleni ikulu na jk pasipo ajizi akawakalisha pale kama lisaa hivi pasina kutokea,viongozi wa cdm wakaonekana wakikodolea masho masanamu ya pale ikulu.baadae akasikika afisa wa mjengo akiwaambia mda wa presida kuingia umewadia na wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa.mda mfupi wa baada ya salamu wakakabidhi mawazo yao kwake.japokua jk alikua na mda wa kutosha kumaliza yale maongezi lkn aliona kiu yake haiwezi kuisha kwa siku moja hivyo akawaamuru warudi keshoyake.na baada ya keshoyake kutii amri ya mkuu wakapigwa pande kwa minista wa wizara usika na kesho yake jk akiwa na roho nyeupe kabisa akasaini mswada waliokua wanashinikiza asisaini.hakika JK kwa hili umetisha. UKIRUSHA JIWE KIZANI UKISIKIA MGUNO UJUE LIMEMPATA
Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa tz.kitendo hicho kimsononesha sana jk japo alioneka akitabasamu.basi baada ya hapo wabunge wa ccm wakajipanga ili kuwashinikiza wabunge wa cdm wamkubali jk kama presida halali wa tz,na kweli shinikizo likafanya kazi japo si kwa asilimia mia kwakua bado wabunge waliendea kukataa miswada yote ya gvt ya jk ndani ya bunge na nje ya bunge walionekana viongozi wa cdm wakipromte maandamano kila kukicha na kitendo hicho kilikua ninamuumiza jk kichwa kila kukicha na akawa anabuni kila njia ya kuwafanya hawa wana cdm wamsujudie lakini wapi,mara kama bahati ya mtende jamaa si wakaandika barua ikulu kuomba ikulu iwaruhusu kumuona jk!jk nae baada ya kusikia pasina na kusita akawaambia mastaff wa ikulu wafanye fasta kuwakubalia ombi lao.mda mfupi baadhi ya wana nec kule dom wakapendekeza jk asikutane na ujumbe wa cdm pekee bali akutane na vyama vyote.lakini jk akakataa maana jk kichwani ilikua si mjadala wa katiba kama wana nec walivyodhan,yeye lengo lake lilikua ni kupokea salute kutoka cdm tu,mda ukawadia viongozi wa cdm wakakaribishwa na wasira pale sebuleni ikulu na jk pasipo ajizi akawakalisha pale kama lisaa hivi pasina kutokea,viongozi wa cdm wakaonekana wakikodolea masho masanamu ya pale ikulu.baadae akasikika afisa wa mjengo akiwaambia mda wa presida kuingia umewadia na wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa.mda mfupi wa baada ya salamu wakakabidhi mawazo yao kwake.japokua jk alikua na mda wa kutosha kumaliza yale maongezi lkn aliona kiu yake haiwezi kuisha kwa siku moja hivyo akawaamuru warudi keshoyake.na baada ya keshoyake kutii amri ya mkuu wakapigwa pande kwa minista wa wizara usika na kesho yake jk akiwa na roho nyeupe kabisa akasaini mswada waliokua wanashinikiza asisaini.hakika JK kwa hili umetisha. UKIRUSHA JIWE KIZANI UKISIKIA MGUNO UJUE LIMEMPATA

Katiba ndugu zangu sio jembe kusema hata ingeandikwa katika mfumo mnaotaka nyinyi wa kukopi kila pendekezo lenu na kupesti,mwisho wa siku bado mtajikuta mko palepale vijiweni.ndugu zangu hata mimi najua kua katiba inaitaji baadhi ya marekebisho kama vile kwenye muungano,mfumo wa umilikaji ardhi,mfumo wa ajira etc lakini hilo la katiba lisitufanye tupunguze mda wa kufanya kazi na kukalia porojo za katiba.NINACHOAMINI MIMI HAKUNA KATIBA KATIKA NCHI YOYOTE DUNIANI AMBAYO ITAMLINDA ASIYE KUA NA KITU CHA KULINDA,yah hana mali,haki,elimu nk.nyinyi mnaokaa kijiweni mkidhani katiba ikija ndo itamfilisi kila tajiri aliyepo tz na kuwagawia nyinyi maskin sahau kwakua hata babu zenu walikua na mawazo kama yenu kipindi cha utaifishaji lakin hawakupata kitu.KUNA NADHARIA INASEMA KUA HATA UMASKINI WA MTU SIO MAZINGIRA BALI NI MAWAZO YAKE.yahani hata leo hii mr presida akiamuru mali zote za matajiri wa tz sikusanywe na kila mtz apewe kiwango sawa bila kubagua rangi wala elimu amini nakuambia baada ya mda mchache mengi atabaki kua mengi,bakhresa atakua bakhresa,wewe wa kijiweni vilevile utajikuta kijiweni na matonya atabaki kuwa matonya kama alivyo leo.FANYA KAZI ILI KATIBA IJE ILINDE JASHO LAKO.