Hapa JF kuna mwanamke aliyekamilika kwa uzuri kama huyu?

Hivi mnatufikiriaje wanawake wa JF kwamba sisi ni wabaya sana au?

Wapo wazuri zaidi ya huyo, sijawahi kuwaona ila naamini hivyo sababu hapa ni kama mtaani kuna wazuri pia.
wewe upoje kwani?
huyo kakufunika ama?
 
DZxVYhfXUAARqSG.jpg:small
Humjui Kapeace wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom