Ukatili dhidi ya watoto unafanywa na watu ambao wana roho mbaya sana kumzidi Ibilisi mwenyewe, ni vema adhabu kali kutolewa kwa wote wanaotesa watoto ili iwe fundisho kwa wengine
Yule house girl me ndo ningekuwa bba mtto amini nakwambia adhabu ya kifo kwake ingewa ndo adhabu rahisi kuliko zote duniani kwa kile ningemfanyia,pumbaf angajua hii dunia si sehemu nzuri ya kuishi!