Hapa haihitaji DNA

Hiyo na.5 noma, Afu inanikumbusha hata binti yangu huwa analala the way ninavyolala mimi! Huwa nacheka sana..........
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kali..no 3 inanipamashaka ya malezi aiseee
 
Hiyo na.5 noma, Afu inanikumbusha hata binti yangu huwa analala the way ninavyolala mimi! Huwa nacheka sana..........

Maternity is a fact but paternity is a probability!! Ndio maana DNA huwa anapimwa mtoto na baba kuhakikisha kuwa ni wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…