Hapa cjaelewa bado

Hapa cjaelewa bado

Joined
May 4, 2017
Posts
57
Reaction score
63
Hivi mwanaume anaposem anataka mwanamke mwenye dini anamaanisha mtu aliyeisoma dini,akaijua ila haitilii maanani anaifanyia kazi kiuvivu uvivu au Mtu aliyesoma walau kidogo lkn anapractice?


Yupi anayehitajika haswa hapo
 
Wanaume wameambiwa ni vema kuoa mwanamke mwenye dini

Lkn watu wengi huwa hawaangalii mtu amesoma dini kwa kiasi gani, huwa wanaangalia anapractice dini kwa kiasi gani... so hata yule anaejua kidogo ukamwona anakifanyia kazi huyo ndio anayetakiwa kuliko anaejua mengi halafu hafanyi au anapractice kivivu kuliko anavyovijua...

Zamani kweli ukiambiwa mtu anajua dini bac anaijua haswa na anapractice kama inavyotakiwa
Siku hz akitokea anayejua hata kidogo tu na anauelekeo afadhali ya huyo
Si kwa wanawake hata wanaume pia
 
Back
Top Bottom