Hapa anavusha watoto ama wanamvusha yeye barabaaran??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,037
Reaction score
38,404
HAPA ANAVUSHA WATOTO AMA WANAMVUSHA YYE BARABAARAN

 
iko wazi anawavusha cheki mkono anawaita wengine pia
 
HAPA ANAVUSHA WATOTO AMA WANAMVUSHA YYE BARABAARAN

Bado kidogo utaanza kuangalia watu wamevaa nguo za ndani za rangi gani. Maana unasahau kuargue kwenye the whole concept ya usalama una argue kwenye miscelleneous. Nadhani ungezungumza hana ile alama ya simama/stop. Otherwise wakati wenzako wanapiga hatua kwenda mbele wewe unarudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…