Haoneshi Ushirikiano Kitandani

Haoneshi Ushirikiano Kitandani

Huyu mleta mada nimegundua vilevile kuna tatizo la maumbile,"ndude" yako inaonekana inamzidi uwezo ndiyo maana hataki kukaa juu yake
 
Na wewe usimwonyeshe ushirikiano ktk mambo mengine then akikuuliza kulikoni unamchana laivu.
 
Duhh.. Dunia imeisha!!! Unatangaza laivu kama unafanya uzinifu.... Me nakushauri acha uzinifu.. Rudi kwa mungu wako.. DUNIA TUNAPITA TU HAPA....
 
Nadhani unatakiwa ukae na mwenzio na muongee face to face pengine unaweza ukajua kiini cha matatizo yake then mkatatua.Kama ni mgeni ktk hii nyanja utajua na ukishajua unachukua hatua ya kumwelekeza taratibu tu na kwa upendo.Hakuna aliyezaliwa anajua,wote tunajifunza..ni hayo tu.
 
analia kama mtoto mdogo yaani nakuwa kama nambaka maana nikimweka kwa kurelax lazima anisukume nichomoe mshedede,
inaelekea kiatu saizi no.6 wakati mguu wa adebayo au kanu no.14
 
Habari wana MMU.

Kwa ufupi ni kwamba nina bint mmoja ambaye nina uhusiano nae takriban miezi 8 sasa na huwa anakuja geto mara moja moja weekend kwa ajili ya kugegeduana, sasa huyu binti kwa kweli amekua ni mvivu sana kitandani, yaani ndani ya muda mfupi unakuta keshakuwa tired hawezi tena himili mikiki mikiki ya kugegeduana, naweza anza naye taratibu... na ndani ya dakika kadhaa nikaenda ya kwanza.

Baada ya muda kidogo ni kwamba raundi ya pili hakuwahi kuwa nami kwa kurelax pamoja mwanzo mwisho hata siku moja jambo ambalo linanifanya niongeze speed ili wazungu waje haraka angalau apumzike, na hapo kwenye kuongeza speed ndo kabsaaaaa... analia kama mtoto mdogo yaani nakuwa kama nambaka maana nikimweka kwa kurelax lazima anisukume nichomoe mshedede, mpaka ikifikia wazungu wakija na nikapumzika kidogo, nikimwambia niende ya mwisho hapo hatakubali hata kidogo.

Jambo lingine linalonikera ni kwamba akishakaa style flani (mara nyingi kifo cha mende) basi katikati hata nikimbembeleza tubadili style angalau akae ya kidog dog au yeye aje juu hataki kabsaaaaaa.... hata nimbembeleze kivipi.

Nimfanyeje huyu mtoto wa kichaga angalau na yeye awe ana FULL RESPONSE???

Wakatabahu

T.T

Whether you like or not,mademu wa kichaga hawajui mapenzi kabisaaaaaaa
Ikikuuma meza wembe.....!!Jaribu kanda nyingine mkuu,hapo umeingia cha kike
 
afu hili neno hana ushirikiano watu wanapenda kulitumia sana ....et hana ushirikiano wakati kila mwisho wa wiki anakuja....kubaki na suti mlizozaliwa nazo......nao ni ushirikiano huo..we unafikiri mtu anakubali kukuvulia kila mwisho wa wiki afu hana ushirikiano hapo kuna tatizo lingine.....halafu sio wanawake wote wako sawa....ndo maana hata wachezaji kuna messi,cr7 wa lara 1 van magoli,demba ba,ozil kila mtu ana mazuri yake na mapungufu yake.......SEMA NAYE
 
Last edited by a moderator:
Ridhika kwani hivyo unammudu sawasawa...akikumudu wewe itakuwa balaa.Bora dudu iwe na kasi kuliko ke,kinyume chake itakuwa fedhea kwako.Angalia sana.
 
Counting other people's sins, does not make you saint

much better of that than to participate in somebody else sins! kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe! do you think I am an easy person to carry his burden? no way man!
 
aaaaaaaaaaaaa jamani mimi nilikuwa nadhani ni mke wako kumbe malaya wa kuja na kurudi ni halali yake kabisa acha kulalamika ungesema mke wako tungekusaidia hebu achana naye harafu oa harafu uone kama atakufanyia tena ukiwa bado unatafuta wa kuoa fanya njia hizi apate hamu ya kufanya
1.mpe hela nyingi out za mara kwa mara
2.uwe unamuita majina mazuri kama my sweat my love ili awe na kumbukumbu
kabla hamjaanza aoge ili kupunguza joto
3.muwe munasali kumuomba mungu mfanye vizuri huku hisia kila mmoja akivuta
4.punguza ubahili wa kupindukia ajue anapendwa
 
Mlete twisheni nitakufanyia bei nzuri tu mkuu ila twisheni yangu ni ya boding:becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom