Hao wengine wafukuze!

Tafakuri ya Kipanya

Hapa wanataka akina nani wafukuzwe? na kwanini?
View attachment 1839233
Nimekuja gunduaaa kwamba katika comments nyingi sanaa za kipanyaa..ana udini ulio waz kabisaa..tena nje njee..masoud kipanya acha udini haswaa unakuwa unatoa comments zako kwenye kipindi cha pb..ukiulizwaa na sizaa..una udini ulio wazi kabisaa..
Tuondolee udini wako tz..nenda mashark ya kati huko..
 
Hili kwangu jipya hebu toa ufafanuzi kidogo ukiambatana na mfano halisi uliousikia
 
Hili kwangu jipya hebu toa ufafanuzi kidogo ukiambatana na mfano halisi uliousikia
Inawezekana pengine hakumakinika na mada tu; kama ataulizwa suala la ndoa, akatumia imani yake kujibu swali hilo, sioni shida!

Kama ataulizwa suala la katiba, akatumia imani yake kujibu, hapa kutakuwa na shida.

Sasa kwenye hiyo katuni, sijaona maoni ya kidini; kama ndivyo, basi SSH aache kuvaa sijui ndo lemba au shungi hilo kwakuwa linaonekana ni la kiimani.
 
Hata mimi nimeshangaa labda tungoje mwenyewe aje aelezee
 

Wewe ndo Una udini umekujaa
CCM na Chadema dini imeingiaje?
Shame on you
 
Acha uongo ww. Hii katuni wala haiusiani hata na mambo ya dini. Halafu PB hausikilizi peke yako chief.
Cartoon haihusiani na comment yangu kabisaa..mm nimechomekea tu kumpondaa huyoo kipanyaa..sijawah kumskia hata siku moja kipind cha jpm akimpa hata kongolee kwa kaz kubwaa aliyokuwa anaifanyaa..mama kaingia tu kaanzaaa...masoud kipanya mm ni mshabik wako kindaki ndani nakukubali sana pale pb..usipokuwepo ww baas huwa sionagi sabab ya kuskiliza kipindi..ila tabia yako ya udini uache..imani kali hazitakiwi kwenye vyombo vya habar vinavyosikilizwa na watu wa aina tofauti..
Zingatia hilo
 
Mfuate umweleze, sio unachafulia uzi, hapo umeona picha ya msalaba? Kama uliona anahojiwa Kwa nini usipige simu na kutoa dukuduku lako.
 
Kwani mtoa uzi ndio kipanya? Jitathmini
 
Punguze stress jomba!!
 
Embu elezea kwa kutumia hiyo katuni hapo juu...
 
Khee!! Kumbe shida ni NDIYO MZEE...!!?? YES BOSS??
 

Kama akili yako ndogo uwezi kumuelewa.
Ukikosea anakuchana kwa katuni.wewe tu ndo unaona anaupendeleo.kikwete,mkapa wamechorwa mpaka basi
 
Umekuja kugundua? Ukitokea wapi?
Rudi uliko toka haraka sana umepotea
 
Humuoni na ile sigdaaa kichwani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…